Tishu
Tishu ni mkusanyiko wa seli za aina moja ambazo kwa pamoja hufanya kazi maalumu katika kiumbehai. Kisha viungo vinaundwa kwa muunganiko wa tishu mbalimbali.
Somo linalohusika na tishu linajulikana kama histolojia au, katika uhusiano na magonjwa hujulikana kama histopatholojia.
Tanbihi
haririMarejeo
hariri- Raven, Peter H., Evert, Ray F., & Eichhorn, Susan E. (1986). Biology of Plants (4th ed.). New York: Worth Publishers. ISBN 0-87901-315-X.
Viungo vya nje
hariri- List of tissues in ExPASy Archived 4 Juni 2011 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tishu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |