Tracy Chapman (amezaliwa tar. 30 Machi 1964) ni mtunzi-mwimbaji wa muziki wa Kiamerika. Anafahamika zaidi nyimbo zake zilizomaarufu, "Fast Car", "Talkin' 'bout a Revolution", "Baby Can I Hold You" na "Give Me One Reason". Pia ni mshindi wa tuzo nyinginyingi za muziki-Grammy kama msanii bora.

Tracy Chapman, 2009

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tracy Chapman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
Done 1