Tuamotu
Tuamotu ni funguvisiwa la Polinesia ya Kifaransa. Kiko upande wa kaskazini-mashariki wa kisiwa cha Tahiti. Ni funguvisiwa kubwa kabisa duniani. Mwaka wa 2002, idadi ya watu visiwani imehesabiwa kuwa 15,862. Watu wakaao visiwani kwa Tuamotu huongea Kituamotu na Kitahiti.
Visiwa ndani ya funguvisiwa
haririFunguvisiwa ya Tuamotu ina makundi manane ya visiwa yafutayo:
Visiwa vya Disappointment
haririVisiwa vya Duke of Gloucester
haririVisiwa vya Tuamotu vya Mashariki Mbali
hariri- Fangatau
- Fakahina
- Tatakoto
- Akiaki
- Vahitahi
- Nukutavake
- Vairaatea
- Pinaki
- Reao
- Pukarua
- Vanavana
- Tureia
- Tematangi
- Moruroa
- Fangataufa
Visiwa vya Hao
haririVisiwa vya Hikueru
haririVisiwa vya King George
haririVisiwa vya Palliser
hariri
Visiwa vya Raeffsky
haririMakala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|