Tzi Ma (amezaliwa tar. 10 Juni 1962) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia wa Kichina-Kiamerika. Anafahamika sana kwa kucheza filamu na tamthilia za Kimarekani. Pia, anafahamika kwa kucheza kama Cheng Zhi kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24.

Tzi Ma

Amezaliwa 10 Juni 1962 (1962-06-10) (umri 62)
Hong Kong

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tzi Ma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
INTERN 1