Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1964

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1964 ulikuwa wa 45 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 3 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Lyndon B. Johnson (pamoja na kaimu wake Hubert Humphrey) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Barry Goldwater (pamoja na kaimu wake William E. Miller).

Matokeo

hariri

Johnson akapata kura 486, na Goldwater 52. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.

 

  NODES