Unestori
Unestori (kwa Kiingereza Nestorianism[1]) ulikuwa tapo la Ukristo lililofuata mafundisho ya Nestori, mmonaki na mwanateolojia aliyefikia kuwa Patriarki wa Konstantinopoli (leo Istanbul) tangu tarehe 10 Aprili 428 hadi Agosti 431, ambapo kaisari Theodosius II alithibitisha uamuzi dhidi yake uliopitishwa na Mtaguso wa Efeso tarehe 22 Juni.
Kwa kukataa jina lililozoeleka la Θεοτόκος, Theotokos, "Mama wa Mungu", kwa Bikira Maria, Nestori alisababisha mabishano makubwa na hatimaye mafarakano kuhusu fumbo la Yesu Kristo.
Hasa Sirili wa Aleksandria alimpinga vikali kwa kudai haamini umungu wa Yesu, ingawa mwenyewe alizidi kujitetea hadi kifo chake kwamba anashika imani sahihi.
Matokeo ya mabishano hayo ni Kanisa la Asiria kutengana na Kanisa Katoliki hadi leo, ingawa kwa sasa mafundisho kuhusu Yesu yamelingana.
Tanbihi
hariri- ↑ Nestorius Ilihifadhiwa 7 Desemba 2017 kwenye Wayback Machine. Ecumenical Patriarchate
Vyanzo
hariri- Meyendorff, John (1989). Imperial unity and Christian divisions: The Church 450-680 A.D. The Church in history. Juz. la 2. Crestwood, NY: St. Vladimir's Seminary Press. ISBN 978-0-88-141056-3.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Artemi, Eirini,«Τό μυστήριο της Ενανθρωπήσεως στούς δύο διαλόγους «ΠΕΡΙ ΤΗΣ ΕΝΑΝΘΡΩΠΗΣΕΩΣ ΤΟΥ ΜΟΝΟΓΕΝΟΥΣ» και «ΟΤΙ ΕΙΣ Ο ΧΡΙΣΤΟΣ» του Αγίου Κυρίλλου Αλεξανδρείας», in Εκκλησιαστικός Φάρος, ΟΕ (2004), 145–277.
- St. Cyril of Alexandria: The Christological Controversy ISBN 0-88141-259-7 by John Anthony McGuckin—includes a history of the Council of Ephesus and an analysis of Nestorius' Christology.
- Edward Walford, translator, The Ecclesiastical History of Evagrius: A History of the Church from AD 431 to AD 594, 1846. Reprinted 2008. Evolution Publishing, ISBN 978-1-889758-88-6. http://www.evolpub.com/CRE/CREseries.html#CRE5 Ilihifadhiwa 7 Juni 2015 kwenye Wayback Machine.—includes an account of the exile and death of Nestorius, along with correspondence purportedly written by Nestorius to Theodosius II.
- Bishoy Youssef (2011). "Lecture II: The Nature of Our Lord Jesus Christ." http://www.suscopts.org/messages/lectures/christlecture2.pdf
- Seleznyov, Nikolai N., "Nestorius of Constantinople: Condemnation, Suppression, Veneration, with special reference to the role of his name in East-Syriac Christianity" in: Journal of Eastern Christian Studies 62:3–4 (2010): 165–190.
- Chesnut, Roberta C. (1978). "The Two Prosopa in Nestorius' Bazaar of Heracleides". The Journal of Theological Studies (29): 392–409.
{{cite journal}}
: Invalid|ref=harv
(help)
Viungo vya nje
hariri- From Orthodoxwiki.org
- Dialogue between the Syrian and Assyrian Churches from the Coptic Church Ilihifadhiwa 7 Agosti 2004 kwenye Wayback Machine.
- The Coptic Church's View Concerning Nestorius Ilihifadhiwa 28 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- English translation of the Bazaar of Heracleides.
- Writing of Nestorius Ilihifadhiwa 15 Machi 2010 kwenye Wayback Machine.
- "The lynching of Nestorius" Ilihifadhiwa 27 Oktoba 2005 kwenye Wayback Machine. by Stephen M. Ulrich, concentrates on the political pressures around the Council of Ephesus and analyzes the rediscovered Bazaar of Nestorius.
- The Person and Teachings of Nestorius of Constantinople Ilihifadhiwa 14 Machi 2003 kwenye Wayback Machine. by Mar Bawai Soro.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Unestori kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |