Upana katika vipimo vya kijiometri ni kipimo cha kitu kutoka upande hadi upande kilichozidiwa na urefu.

Upana, kama vile urefu, ni kipimo cha mwelekeo mmoja, ambapo eneo ni kipimo cha vipimo mbili (urefu kwa upana) na ujazo ni kipimo cha vipimo vitatu (urefu kwa upana kwa kimo).

Kwa kawaida unapimwa kwa mita.

Kinyume cha upana, au kiwango kidogo cha upana, ni wembamba.

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Upana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES