Baba Tabita
de Dieser Benutzer spricht Deutsch als Muttersprache.
en-4 This user speaks English at a near-native level.
sw-3 Mtumiaji huyu anaweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.
nl-1 Deze gebruiker bezit elementaire kennis van het Nederlands.
fr-1 Cet utilisateur peut contribuer avec un niveau élémentaire de français.
Mtumiaji huyu ni Mkabidhi katika Wikipedia ya Kiswahili. (hakikisha)
Bureaucrat Mtumiaji huyu ni Bureaucrat katika Wikipedia ya Kiswahili.

Niliifanyia kazi wikipedia hiyo kwa miaka 12. Tangu mwezi wa Mei 2018, siwezi kuchangia, bila kujua kama nitaweza kurudi. Kwa herini!

Ingawa jina langu rasmi ni Oliver, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa Baba Tabita kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.

Nimetoka Ujerumani lakini nimekaa Afrika Mashariki miaka ya 1996 hadi 2016. Nafanya kazi kama mshauri wa kiisimu, na lengo langu ni kukuza matumizi ya Lugha za Afrika. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya Kiswahili.

Tarehe 20 Mei 2017 nimefikisha michango 60,000.

Bahati mbaya, tangu mwezi wa Mei mwaka huu wa 2018, siwezi kuchangia, nadhani hadi mwezi wa Novemba. Naomba mnivumilie. Asanteni!

  NODES