Uwanja wa michezo wa Newlands

Uwanja wa michezo wa Newlands ni uwanja wa michezo ambao kwa sasa hujulikana kama DHL Newlands kwa sababu ya udhamini uliopata[1].

Uwanja wa Newlands

Uwanja huu unapatikana huko Cape Town nchini Afrika Kusini. Uwanja huo kwa sasa una uwezo wa kuchukua idadi ya watu 51,900, ikijumuisha wote watakao kaa na kusimama uwanjani humo.

Timu mbalimbali hutumia uwanja huo kama uwanja wao wa nyumbani katika Ligi mbalimbali, Timu hizo ni kama:

  • Stormers Ligi ya Super Rugby
  • Western Province Ligi ya Currie Cup

Marejeo

hariri
  1. "Province land sponsorship windfall". Times Live. Iliwekwa mnamo 2011-02-03.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Newlands kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES