Varanasi
Varanasi (pia: Benares) ni jiji la Jimbo la Uttar Pradesh nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.2 (2011). Ni mji mkubwa wa thelathini na moja nchini Uhindi, na ni maarufu kama mahali pa hija kwa Wahindu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Varanasi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |