Vince J. McMahon
Vincent James McMahon (anayejulikana zaidi kama Vince McMahon, Sr.; Julai 6, 1914 - Mei 24, 1984) alikuwa mwezeshaji wa WWE wa Marekani. Atambulika sana kwa kuanzisha na kukuza World Wrestling Entertainment, ambayo mwanawe, Vincent Kennedy McMahon, sasa ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi.
Vince J. McMahon | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Kazi yake | Mwana michezo marekani |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vince J. McMahon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |