Vincent Ferrer (Valencia, Hispania, takriban 1350Nantes, Ufaransa, 5 Aprili 1419) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtawa wa Shirika la Wahubiri.

Mt. Vincent Ferrer.

Alisafiri sana kati ya miji ya Ulaya Magharibi, akishughulikia amani na umoja wa Kanisa akisaidia kumaliza Farakano la magharibi.

Aliwahubiria watu wengi sana Injili ya toba na ujio wa pili wa Yesu hadi mwisho wa maisha yake.

Mwaka 1455 alitangazwa na Papa Callixtus III kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri

Hotuba zake katika tafsiri ya Kifaransa

hariri

Vitabu juu yake

hariri

Makala

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  NODES