Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki)
Wizara ya Utamaduni na Utalii (Kituruki: Kültür ve Turizm Bakanlığı) ni ofisi ya wizara ya serikali ya Jamhuri ya Uturuki, inahusika na masuala ya utamaduni na utalii nchini Uturuki.
Kwa mwaka wa 2018, inaongozwa na Mehmet Ersoy.[1]
Marejeo
haririViungo vya Nje
hariri- Official site
- Tourism portal Ilihifadhiwa 5 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.
- Tourism Strategy of Turkey - 2023 (2007)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |