Yavne (awali: Jabneh, Jamnia, Ibelin au Yibna) ni mji wa Israeli.
Idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa 47,585 (2019)[1].