Ziwa Chaubunagungamaug

Ziwa Chaubunagungamaug (pia hujulikana kama Ziwa Webster) linapatikana katika nchi ya Marekani. [1]

Moja ya maeneo ya Ziwa Chaubunagungamaug

Ni ziwa lenye jina refu zaidi duniani likiwa kwa kirefu jina hili husomeka kama Char­gogg­a­gogg­man­chaugg­a­gogg­chau­bun­a­gung­a­maugg.

Tanbihi

hariri
  1. "Lake Chargoggagoggmanchauggauggagoggchaubunagungamaugg | lake, Massachusetts, United States". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-01-27.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Chaubunagungamaug kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
os 2
web 1