Kiswahili

hariri

kitenzi

hariri

agua

  1. tafsiri ndoto au ishara; piga ramli
  2. toa dawa ili kuponya

Visawe

hariri
  • tabiri
  • tazamia
  • angalia
  • gangua
  • opoa
  • topoa

Kihispania

hariri

From Latin aqua

Nomino

hariri

agua (es)

  1. maji
    el agua clara
    las aguas calientes

Makufanana

hariri
  NODES